Top Stories

Kingine ambacho RC Makonda amekifanya kwa Jeshi la Polisi DSM

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo September 8, 2017 amekabidhi Pikipiki za Traffic 10, Computer 100 na Baiskeli za kisasa 200 kwaajili ya kuimarisha utendaji kazi wa Jeshi la Polis Dar es Salaam na kulifanya kuwa la kisasa.

Kupatikana kwa vitendeakazi hivyo ni matokeo ya jitiada binafsi za RC Makonda kutafuta Wahisani kwa lengo la kuleta mapinduzi makubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha Askari wanakuwa na vifaa vya kutosha ikiwemo magari, pikipiki za kawaida na za Traffic, Baiskeli za doria, silaha na Computer ili kuwarhisishia mazingira mazuri ya kufanyia kazi.

RC Makonda kasitisha bomoabomoa ya zaidi ya nyumba 17,000

“Hakuna atakayewabomolea nyumba zenu” – RC Makonda

Soma na hizi

Tupia Comments