Golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Dar es Salaam Young Africans ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa akiitumikia Yanga kama kocha wa makipa Juma Pondamali amegoma kutoa mtazamo wa Yanga kuandamwa na matokea mabovu kombe la CAF.
“Unajua Yanga katika michezo yao hadi kupoteza kwao siwezi kuzungumzia chochote kiukweli, Yanga kuna kocha mkuu msaidizi na mimi hivyo nikisema niiongelee itakuwa naingilia majukumu na ukizingatia mimi nimemaliza mkataba ndani ya Yanga na nipo kozi sijajua kama nitaendelea nao au la”
ALL GOALS: SIMBA VS COASTAL UNION FA CUP APRIL 11 2016, FULL TIME 1-2