Burudani

Jarida la Vogue walivyomuibukia Cardib nyumbani kwa bibi yake na kumuuliza maswali 73

on

Ni Headlines za jarida maarufu nchini Marekani Vogue ambalo time hii kwenye kipengele chao cha kikaango wamempata Rapper maarufu aitwae Cardib akiwa kwenye apartment anayoishi bibi yake huko New York City nchini Marekani.

Sasa Jarida hilo limepata nafasi ya kumuuliza maswali 73 yakiwemo mahusiano yake pamoja na kazi zake za muziki, itazame hii video hapa

ULIIKOSA HII YA HARMONIZE KUTANGAZA KUMSAINI HAMISI WA BONGO STAR SEARCH BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments