Umeikosa #Countdown ya stori za #Amplifaya leo April 21 2015, zote nimekusogezea hapa..
Umezikosa stori kuanzia #10 mpaka #1 za Amplifaya mtu wangu?? Hapa nimekusogezea…
Unaambiwa hii treni nd’o iliyovunja rekodi ya kwenda kasi zaidi DUNIANI..
Wasafiri wote wanpenda usafiri wa haraka, salama na wa uhakika.. sasa inapokuja…
Masharti ya ZITTO aliyoyatoa kwa LOWASSA ili kujiunga ACT na Mtoto wa miaka 11 ajinyonga Dar…Ni miongoni mwa stori 9 #MAGAZETINI APRIL 21
MWANANCHI Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo…
Sentensi nyingine 10 za Waziri Membe kuhusu ishu ya mauaji ya Afrika Kusini..
Najua maswali yalikuwa mengi kwa watu kuhusu kinachoendelea Afrika Kusini.. tuna ndugu…
Zikufikie hizi Stori 10 zilizopewa Headlines kutoka kwenye Magazeti ya leo April 20 mtu wangu!!
MTANZANIA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa adui yake namba…
Muonekano wa gari la Mwamvita Makamba baada ya kurushiwa mawe na risasi South Africa.
Mwamvita Makamba ni mtoto wa Mzee Yusuf Makamba na ni dada wa…
Na huyu ndio Mtanzania anayekwenda na Akon Marekani ! ni baada ya ushindi wa Airtel TRACE Music STARS !!
Fainali ilikua ni Jumamosi ya April 18 2015 ambapo shindano la Airtel…
Watanzania waamua kushika silaha A.Kusini, mkakati wa kuwatema LOWASSA na MEMBE na Madereva kugoma tena?…#MAGAZETINI APRIL 19
MWANANCHI Wakati mchakato wa CCM kutafuta mgombea Urais ukitarajiwa kuanza mwezi ujao,…
Kwenye zilizochukua HEADLINES #Magazetini nimekusogezea hizi stori kubwa SITA hapa mtu wangu..
JAMBO LEO Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema misukosuko aliyoipata katika…
Kingine cha Askofu Gwajima.. Baada ya Polisi kuzunguka nyumba ishu imehamia Mahakamani..
Asubuhi ya leo imeripotiwa stori ya Askari Polisi wakiwa na silaha kuizunguka…