Polisi nchini Canada wanamshikilia na kumhoji kijana wa miaka 25 anayedhaniwa kuhusika na tukio la kugonga watu na kuua 10 huku akijeruhi 15 kwa gari lililokuwa limekodiwa.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jijini Toronto ambapo gari hilo liligonga watu hao 25 ambao walikuwa ni watembea kwa miguu barabarani.
Mzee Majuto azidiwa, arudishwa tena Hospitali kwa tatizo jingine
Polisi wanaeleza kuwa tukio hilo la kugonga watu hao lilikuwa ni la makusudi lakini hadi sasa dhamira ya mtuhumiwa huyo bado haijajulikana. Polisi wanaendelea na upepelezi.
ACT Wazalendo wamezungumza kufichwa kwa Zitto Kabwe