Michezo

CEO wa Simba SC Senzo Mbatha ajiuzulu

on

CEO wa club ya Simba SC Senzo Mbatha raia wa Afrika Kusini atangaza kujiuzulu nafasi yake ndani ya club ya Simba SC, Senzo bado hajaweka wazi sababu za kujiuzulu kwake

Ujumbe maalum kwa kuwashukuru Simba SC kwa kunipa fursa ya kuongoza hii klabu kubwa kwa masikititiko najiuzulu nafasi hiyo, ndani ya kipindi kifupi tumefanikisha mengi asanteni sana wana Simba.

VIDEO: ALIKIBA- “MORRISON MSALITI, KIAZI KWELI”

Soma na hizi

Tupia Comments