Katika akaunti ya Instagram ya mtangazaji kutoka 254 Kenya, Mzazi Willy M. Tuva (@mzaziwillytuva) ameweka picha kuhusiana na stori iliyotokea Uganda.
Kuna watu walifanya mchezo wa kuivuruga show ya msanii Jose Chameleone itakayofanyika Desemba 18, kwa kutengeneza tangazo feki la kuwepo kwa show ya msanii Jay Z nchini humo Desemba 20.
Kali zaidi ikawa #TeamChameleone ilipoibuka na tangazo feki pia ambalo linaonyesha kuwepo kwa show ya Beyonce nchini humo Desemba 24 kama namna ya kuwatia somo ‘haters’ wa Chameleone, halafu mabango yote yakawekwa pamoja.
“..The Ugandan entertainment industry is quite vibrant, interesting and so competitive : As @jchameleone‘s #OneManOneMillion show’s hype spreads like bush fire some haters have tried to sabotage the event with posters purporting that Jay Z will be performing around the same time. In retaliation, people believed to be among the millions of @jchameleone‘s followers came up with a poster announcing Beyonce’s show on 24th Dec. This is meant to rubbish the stunt and teach the haters a lesson. It has worked! The Jay Z/Beyonce show is a hoax : The #OneManOneMillion show is ON 18th December. It’s Big and historic. You better get your ticket! @msetoea will be there!..”- Mzazi Willy Tuva
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook