August 26 2016 Mwenyekiti wa chama cha siasa UDP John Cheyo amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuzungumzia mpango wa Chama Chemokrasia na Maendeleo kufanya maandamano waliyoyapa jina la UKUTA yanayotarajiwa kufanyika September 1 2016.
'Kila siku wapinzani tulikuwa tunalilia elimu bure, Rais Magufuli ametekeleza sasa tutake nini zaidi? #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
'Wachaga wanataka kufanya biashara ktk mazingira mazuri na Rais amewekeza katika hilo, sasa hawa wapinzani wanataka nini tena' #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
'Nani kasema kufanya maandamano ndio kuleta maendeleo? Tuache kuwachonganisha wananchi na Askari Polisi wetu'' #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
'Hakuna nchi inayotoa haki bila kuwa na mipaka, watanzania wote tukatae maandamano na tumuunge mkono Rais' #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
'Tangu tumeanza kuwa na ushindani wa kisiasa nchi yetu imepaa kimaendeleo, bungeni nafasi ya vyama vya upinzani ni muhimu' #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
'Kitendo cha UKAWA kususia bunge ni kutukosea sana, viongozi wa dini waendelee kuombea amani' #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016
'Wewe unaita waandishi wa habari alafu unahamasisha watu wafanye vurugu, hilo halikubaliki' #John_Cheyo
— millardayo (@millardayo) August 26, 2016