Amber aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba hakuwahi kumsaliti kwa mumewe wa zamani, Wiz Khalifa lakini uaminifu wake sio sawa na Wiz Khalifa alivyokuwa wakati wakiwa kwenye uhusiano huo.
Alimalizia kwa kushurukuru wanaomtia nguvu katika wakati huu huku akisema mawazo yake kwa sasa yapo kwa mtoto wake, Sebastian.
Juzi usiku Amber amekutwa na Chris Brown Club huko Los Angeles, hakuna aliyekuwa na stress kati yao, kwenye good time hiyo walidance kwa dakika kadhaa huku kila mmoja akionekana kuenjoy support ya mwenzake.
Cheki video hii ikimuonyesha Amber na Chris wakiwa Club.
https://www.youtube.com/watch?v=AySXI77x-7s
Unadhani kuna dalili zozote wawili hawa kuanza uhusiano? Nitafurahi ukiniandikia.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook