Anaitwa Martin Cooper, amezaliwa December 26, 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA, Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering, anafahamika kama Baba wa simu za mkononi.
Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme ya Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973, yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell.
Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa Kg 2, chaji ilidumu kwa nusu Saa tu na kuichaji mpaka ijae ni Saa 12.