Yaliyojiri kwenye tuzo za Tuzo za 90 za waigizaji nchini Marekani (90th Oscars Annual Academy Awards) yanaendelea ku-trend kwenye mitandao pamoja na vyombo mbalimbali ya habari vya kimataifa.
Kama kawaida millardayo.com inakuletea wapenzi ‘couples’ ambao walionekana kupendeza zaidi kwenye tuzo hizo ambazo zilifanyika usiku wa kuamkia leo March 5, 2018 nchini Marekani.
Miguel & Nazanin Mandi
Kobe Bryant & Vanessa Laine Bryant
Armie Hammer & Elizabeth Chambers
Viola Davis & Julius Tennon
Joe Locicero & Gina Rodgiguez
Kate Capshaw & Steven Spielberg
Kelly Ripa & Mark Consuelos
Andy Serkis & Lorraine Ashbourne
Christopher Nolan & Emma Thomas
Sam Rockwell & Leslie Bibb
BLACK & WHITE: Lulu Diva awalipia viingilio Mashabiki zake