Club ya Yanga leo imepewa bonasi ya Tsh milioni 405 kutoka kwa Mdhamini wao Mkuu SportPesa kutokana na kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali msimu 2022/2023.
Yanga SC wana mkataba wa miaka mitatu wa udhamini na SportPesa ambao una thamani ya Tsh Bilioni 12