Mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Corona ‘ Covid-19’ imesababisha athari katika sekta mbalimbali ikiwemo ya ajira ambapo Taasisi na Kampuni zimewasimamisha kazi wafanyakazi wao.
Je kwa nchini Tanzania ushawahi kujiuliza sheria zinasemaje, pindi yanapotokea majanga kama ya Corona na hatma ya wafanyakazi kulipwa stahiki zao.
Leornad Manyama ni Wakili wa Kujitegemea nchini Tanzania akitupatia tafsiri ya kisheria.
BREAKING: VIFO VYAFIKIA 21, MAAMBUKIZI YAFIKIA 509, MILIONI 3 DUNIANI NZIMA, LOCKDOWN