Polisi Uganda wamekamata Bodaboda 500 na Taxi takribani 170 hadi sasa kufuatia baadhi ya Watu kikiuka maagizo ya Rais Museveni ya kupiga marufuku usafiri wa umma kwa siku 14, Watu 10 wamekamatwa pia kufuatia kubishia maagizo ya Polisi, stendi zimefungwa na hakuna shughuli zinazoendelea.