
Rapper Ibrahim Ayoub Mandingo aka Country Boy time hii ametusogezea remix ya single Hot N*gga iliyoimbwa na rapper kutoka Marekani Bobby Shmurda.
Isikilize hapa #RemixyaHotN*gga bonyeza play
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook