Kwenye dunia sio tu kwenye mataifa tajiri bali hata Tanzania, Mtoto anaweza kuandaliwa misingi mizuri ya maisha yake ya kila siku ikiwemo kwenye masomo na hata akiba ya baadae.
Sio kila mmoja anaweza ku-share keki kama hii lakini CRDB BANK wameweza na kuileta mezani Account maalum (JUNIOR JUMBO) kwa Mtoto yoyote Tanzania, ni faida nyingi atazipata mtoto yeyote ambaye atafunguliwa account hii na Mzazi wake.
Nimeyagundua hayo baada ya kuhudhuria Party ya Mtoto wa Afrika iliyoandaliwa na CRDB BANK tawi la Osterbay Dar es salaam ambalo kiukweli baada ya kuwasikia Meneja pamoja na Wazazi wakiongea, nikagundua uzuri wa keki hiyo ya ‘JUNIOR JUMBO ACCOUNT‘ , tazama hapa chini kwenye hii video