Umeshare na mtu wako wa nguvu pichaz ulizopiga wakati ukienjoy Christmas yako? Instagram, Facebook, Twitter, Whatsapp kulikuwa na story na pichaz za kutosha watu walivyoajiachia kula Christmas.
Kesho kuna kimbembe cha mechi kati ya Real Madrid na AC Milan lakini staa wa soka Cristiano Ronaldo ambaye ni mmoja ya wanaotegemewa kikosini hakuona sababu ya kushindwa kujiachia Christmas eti kisa mechi hiyo ya kesho.
Ronaldo likuwa zake Dubai akila good times, hapa ni baadhi ya pichaz alizoshare na sisi mtu wangu.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook