Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya story kubwa may 30 2016 kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Waliofukuzwa UDOM wageukia udadapoa’, Gazeti hilo limeripoti kuwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliofukuzwa na uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma ‘UDOM’ wanadaiwa kugeukia biashara ya uchangudoa mjini Dodoma ili kupata fedha za kujikimu na nauli za kuwarudisha kwao .
Gazeti hilo limeripoti kuwa Juzi kupitia kwa Mkuu wa Chuo cha Dodoma, Prof Idrisa Kikula kilitangaza kuwasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 7000 wa kozi ya Stashahada ya ualimu ambao hawakuwa na sifa za kusoma masomo hayo.
Gazeti limedai kuwa juzi jioni eneo maarufu la CDA club lilikuwa na idadi kubwa ya kina dada wanojiuza wengi wao wakiwa ni wanafunzi ambao hawakuwa tayari kutaja majina yao.
#MTANZANIA Baadhi ya wanafunzi wa kike waliofukuzwa UDOM wadaiwa kugeukia udadapoa ili kupata fedha ya kujikimu pic.twitter.com/QRS1PcDzlD
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#MWANANCHI Hofu wimbi la mauaji, 15 wauawa ndani ya mwezi mmoja, mauaji mengi hayahusishi wizi wala uporaji wa mali pic.twitter.com/XpKlrTY1sy
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#NIPASHE Wakufunzi16, watumishi wengine 7 wa chuo cha ualimu Newala walipwa mishahara miaka miwili bila kufanya kazi pic.twitter.com/25aqMNAlxi
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#NIPASHE Kamati iliyoundwa kuchunguza Lugumi imeshindwa kukabidhi ripoti kutokana na masuala kadhaa kutokamilika pic.twitter.com/zjioofqTZZ
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#MWANANCHI Utafiti umebaini watoto mil 4 wanafanya kazi hatarishi sekta ya kilimo, madini, uvuvi na ujasiriamali pic.twitter.com/HbyZMRxT5K
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#MTANZANIA Baadhi ya wanafunzi wa kike waliofukuzwa UDOM wadaiwa kugeukia udadapoa ili kupata fedha ya kujikimu pic.twitter.com/QRS1PcDzlD
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#HabariLEO Serikali imeanza kutengeneza sheria kutambulisha Dodoma kama Makao Makuu na inatarajiwa kupelekwa bungeni pic.twitter.com/lz5D9pug4f
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#HabariLEO Wauguzi wa hospitali ya Tarime, Mara wadai kukabiliwa na vitisho kutoka kwa baadhi ya ndugu wa wagonjwa pic.twitter.com/952Ngb3JNq
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#MWANANCHI Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Rwegasira amesema waliositishiwa mikataba Nida kulipwa karibuni pic.twitter.com/UdCDJwx9wp
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#UHURU Sumatra kusitisha leseni za mtu mmoja mmoja kwa wamililiki wa daladala jijini Dar ifikapo Desemba mwaka huu pic.twitter.com/cpH2A6iRQi
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
#TanzaniaDAIMA wanafunzi 7000 walioamriwa kuondoka UDOM wameonekana kurandaranda mitaani baada ya kukosa makazi pic.twitter.com/ApPoFxtbH2
— millardayo (@millardayo) May 30, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI MAY 30 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE