Ikiwa zimepita siku tisa tangu Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kupata ajali ya gari alipokuwa akitokea mkoani Arusha kuelekea Dodoma baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa habari wa wizara hiyo Hamza Temba. Leo August 13, 2018 millardayo.com imezipata picha mbili za Waziri Kigwangalla baada ya kutoka hospitali.
Madai ya Kubenea Kuhama CHADEMA? ‘SIO KILA ANAYEONDOKA AMENUNULIWA”