Hakimu Janeth Mtega amesema Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kumruhusu Kabendera kuhudhuria mazishi ya Mama yake, hivyo atarudi Mahabusu hadi tarehe itakayopangwa na hakuna fursa ya kukata rufaa ktk maamuzi hayo,Kesi imeahirishwa hadi Jan 13, 2020.