Kuna tamaduni tofauti kati yetu, kuna watoto ambao wamelelewa kwenye mazingira ambayo wako huru, anaweza kuongea na mzazi wake chochote wakati wowote, wapo wale ambao mzazi akitokea tu wanapishana na njia ya kupita.
Hii imenivutia, baba kamfundisha mtoto wake wa kike kwamba yeye akiwa mkubwa atakuwa ni Malkia, mume wake atakuwa ni Mfalme ambaye moja ya majukumu yake ni kumfungulia mlango.
Baba yake akamuuliza ni nani anayetakiwa kuwa karibu kuhakikisha yote yanafanyika, mtoto akajibu ‘ni baba’.
https://www.youtube.com/watch?v=upPUc3gnb2U
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook