Alhamisi ya August 3 2017 kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambao ndio wadhamini wakuu wa Ligi Kuu soka Tanzania bara waligawa vifaa vya mazoezi kwa vilabu vyote 16 vya Ligi Kuu kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2017/2018.
Wawakilishi wa vilabu mbalimbali walikuwepo kwa ajili ya upokeaji wa vifaa hivyo lakini kwa upande wa Dar es Salaam Young Africans hawakuleta muwakilishi ndipo afisa habari wa Simba Haji Manara akaamua kwenda kuwawakilisha.
VIDEO: Gor Mahia vs Everton: Full Time 1-2 (ALL GOALS JULY 13, 2017)