Mix

Siku 2 baada ya Rais Magufuli kuwaongoza Watanzania kufanya usafi ‪#‎Dec9‬, hizi ni picha 20 muonekano wa Dar Es Salaam

on

Headlines za uamuzi wa Rais wa awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli kutangaza kuwa maadhimisho ya siku ya Uhuru kuadhimishwa kitofauti zilichukua sana nafasi katika vyombo vya habari, Siku ya tarehe 9 December ndio siku ambayo Tanzania inakumbuka siku ya Uhuru,

DSC_3570

Hivyo badala ya kufanya sherehe na magwaride ya askari, Rais Magufuli alitaka siku hiyo itumike kufanya usafi Tanzania nzima ili kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu. Agizo hilo la Rais Magufuli lilitekelezwa kwa ufasaha siku ya Jumatano ya December 9 kwa Tanzania nzima kufanya usafi maeneo mbalimbali.

DSC_3569

Mtu wangu wa nguvu ikiwa siku mbili zimepita toka Tanzania iadhimishe siku ya Uhuru kwa kufanya usafi, millardayo.com ilitembea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam kukuonesha hali ilivyo katika jiji la Dar Es Salaam, bado baadhi ya maeneo ni masafi kwa kiasi kikubwa ila sehemu chache ndio kuna uchafu kwa kiasi kidogo.

DSC_3568

DSC_3622

DSC_3619

DSC_3607

DSC_3606

DSC_3612

DSC_3615

DSC_3617

DSC_3596

DSC_3593

DSC_3590

DSC_3600

DSC_3601

DSC_3578

DSC_3582

DSC_3583

DSC_3587

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments