Mix

Davido kamzawadia Zlatan cheni yenye thamani milioni 90 za kitanzania

on

Kama utakuwa unakumbuka mnamo mwezi October 15, 2019 msanii wa Nigeria Davido alimzawadia msanii mwenzake aitwae Zlatan cheni yenye thamani ya shillingi Milion 19.

 

Sasa leo Novemba 13, 2019 Davido ameingia kwenye vichwa vya habari huko Nigeria baada ya kumzawadia tena msanii huyo zawadi ya cheni yenye thamani  shilingi milioni 90 za kitanzania huko Dubai.

Davido na Zlatan wameanza maswali yasiyo na majibu nchini Nigeria huku wengine wakisema huenda Davido anafanya maandalizi ya kumsaini msanii huyo kwenye lebo yake.

 

Soma na hizi

Tupia Comments