Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Davido kaja tena kuileta ‘Dodo’ kwenye video yake kabisa, enjoy mtu wa nguvu… (+Video)
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Videos > Davido kaja tena kuileta ‘Dodo’ kwenye video yake kabisa, enjoy mtu wa nguvu… (+Video)
Videos

Davido kaja tena kuileta ‘Dodo’ kwenye video yake kabisa, enjoy mtu wa nguvu… (+Video)

September 26, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Jina lake kwenye passport na na vyeti vingine rasmi linasomeka hivi >>> David Adedeji Adeleke, Dunia inamtambua kwa kazi nzuri ya muziki anaoufanya, anafahamika kwa jina la Davido.. kichwa kingine kinachoibeba Bendera ya Nigeria kwa kazi ya muziki anaoufanya.

Davidoor

Hits za Davido ni nyingi ambazo zinafanya jina lake kuwepo kwenye list yoyote inayohusisha mastaa wa muziki toka Nigeria, jamaa karudi tena… mdundo unaitwa ‘Dodo’.. YES, baada ya audio yake kutoka siku chache zilizopita sasahivi ni time ya video yenyewe.

Kiukweli jamaa huwa habahatishi, tuone na hii ‘Dodo’ inatokaje mtu wangu?

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE

You Might Also Like

VideoMpya: Yaga anakualika kuitazama Ninogeshe

VideoMPYA: Pam D katuletea hii nyingine’Yeyo’

Video ya Davido ilivyowekwa kikaangoni na The Ubunifu Space

MAPOKEZI AIRPORT: Davido kuhusu Alikiba, ku-perform Arena Nextdoor DSM

VIDEO:The Ubunifu Space walivyoichambua ya Vanessa Mdee ‘Wet’

TAGGED: davido ayotv
Millard Ayo September 26, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti 14 ya Tanzania leo September 26 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Next Article Weekend hii mtu wangu wimbo huu uwe kwenye playlist yako; ‘Broadcast Live’ ya kwake T.I. (Video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?