Usiku wa May 4 2016 Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Ally Hapi alitembelea Hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam kwa stlye ya tofauti ya kujidai ni mgonjwa lengo ni kujionea mwenendo wa huduma zinzazoendela hospitalini hapo.
millardayo.com imezungumza na mkuu huyo wa wilaya ya Kinondoni ili kujua ni yapi aliyojinea usiku huo na haya ndio kayasema >>> ‘Nimefanikiwa kujionea mwenyewe utaratibu na nimetembelea wodi zote nimeshuhudia changamoto kubwa, vitanda vingi havina vyandarua, mashuka hakuna, watu wanalala kwenye magodoro <<<<
>>> ‘Wodi ya Watoto haina vyandarua pia kumekuwa na idadi ndogo ya madaktari wanaofanya kazi ya kuwahudumia watu, idadi niliyoikuta ni madaktari watatu ambapo mmoja yuko kwenye dharura na anabakia Daktari mmoja tu anaepokea Wagonjwa usiku‘
KUYAFAHAMU YOTE ALIYOZUNGUMZA DC KINONDONI BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE