Ni katika hitimisho la zoezi KIKAKA Mkoani Kigoma zoezi ambalo lililenga kuwajengea uwezo Askari na Maafisa wa Kijeshi katika uwanja wa vita juu ya matumizi ya silaha na maeneo yao katika wilaya za Kasulu Kibondo na Kakonko.
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala akaeleza kuwa unahitajika ulinzi wa ziada katika maeneo ya mipakanai.