Msanii ambaye ni wa kwanza kutolewa na Ruge Mutahaba kupitia Tanzania House of Talent (THT) Mwasiti amezungumza na AyoTV na millardayo.com juu ya Msiba wa Ruge uliotokea nchini Afrika Kusini ambapo alikuwa anapatiwa matibabu.
MSIBA WA RUGE: MSEMAJI WA FAMILIA AMEZUNGUMZA ‘AMEKUFA SAA 11″