AyoTV

Video: Steve Nyerere ‘Nimepokea taarifa kwa majonzi, Ruge alikuwa msaada kwangu’

on

Ni Simanzi na Majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari na burudani baada ya kufariki kwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambae alifariki Feb, 26, 2019 Afrika Kusini ambapo alipokuwa akipatiwa matibabu.

Miongoni mwa wasanii waliowahi kufanya kazi na Ruge Mutahaba ni Steve Nyerere ambae amekaa kwenye Ayo TV na Millardayo.com kueleza mipango yao kwenye tasnia ya burudani.

WASANII WALIVYOINGIA STUDIO KUREKODI WIMBO WA KUMUENZI RUGE MUTAHABA ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments