Bodi ya Barabara Mkoa wa Tabora ikiongozwa na Mwenyekiti Aggrey Mwanri Mkuu wa Mkoa wa Tabora imepitisha azimio la kutumia wananchi kubaini wizi wa alama za barabarani baada ya kuibiwa kwa alama 216.
“Tutafanya msako wa Kijiji kwa Kijiji tangazeni kabisa ili wafahamu na hao mliowakamata msiwaachie, tunamuagiza RPC wasakwe mpaka wapatikane wanatutia hasara kubwa Mwaipopo ni shahidi” RC Mwanri
MAISHA YA SOUDY BROWN BILA BOSS RUGE “HAKUTAKA TUFANYE UMBEA TU”