Bismarck Rock limekuwa jiwe maarufu kwa kulitambulisha Jiji la Mwanza Duniani, limekuwa kivutio kwa Watu wengi hata kwa wageni kwenda kupiga picha kwenye hilo jiwe lililoko ndani ya maji eneo la Kamanga Mwanza.
“Watu wanakuja kuchota maji ya eneo hili na kwenda kufanyia mambo yao, wengine wanakuja na sadaka , chakula na mbuzi”