Top Stories

Magufuli amkaanga RPC, fukuza wote, wanaadharau (+video)

on

Leo October 6, 2019 Rais Magufuli amemuagiza RPC Rukwa kutekeleza agizo la Waziri Lugola la kuwachukulia hatua Askari wanaodaiwa kufanya uzembe.

“Nakwenda Sumbawanga Kabla sijafika uwe umewachukulia hatua, Waziri nimemteua mimi anaagiza mnapuuzia, ni dharau, unafikiri nikitamka utaendelea kuwa RPC?”

IGP SIRO APEWA MAAGIZO MAZITO NA MAGUFULI KWA SIMU”MSIMAMISHE KAZI SASA HIVI”

Soma na hizi

Tupia Comments