Tuzo za BET zinaendelea kutolewa Los Angeles Marekani ambapo tuzo aliyokuwa akishindania Diamond Platnumz ya Best International Act Africa ama msanii bora wa kimataifa kutoka Afrika ilichukuliwa na DJ Black Coffee wa South Africa.
Dakika 8 kabla ya tuzo kutolewa nilimpata Diamond Platnumz akaongelea matumaini yake juu ya tuzo hiyo ambayo ilikuwa ikishindaniwa na A.K.A, Black Coffee, Casper Nyovest (South Africa), Yemi Alade, Wizkid (Nigeria), Mz Vee (Ghana) na Serge Beynaud (Ivory Coast)
Interview na Diamond dakika 8 kabla ya tuzo aliyowania #BETawards2016 kutolewa kwa DJ Black Coffee wa South Africa pic.twitter.com/S0bMmvwZg7
— millard ayo (@millardayo) June 25, 2016
KAMA ULIIKOSA HII YA DIAMOND AKIELEZEA MASWALI AMBAYO HAPENDI KUULIZWA 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE