Michezo

Rekodi ya Angel Di Maria nje ya uwanja hii hapa!!

on

Soccer - Manchester United Photo Call - Angel Di Maria Unveiling - Old TraffordAngel Di Maria amekuwa akisikika mara kwa mara katika vyombo vya habari kuhusu hatma yake na klabu yake ya Manchester United msimu huu.

Di Maria ambaye ni raia wa Argentina amekuwa hafanyi vyema katika timu yake hiyo na kuwepo na fununu za kutakiwa kuuzwa licha ya kocha wake kudai hana mpango wa kumuondoa ndani ya klabu hiyo.

Ukiachia rekodi yake ya uwanjani unaambiwa rekodi iliyotolewa na wauzaji wa jezi za timu za ligi kuu England inaonyesha Di Maria ndiye mchezaji anayeongoza kwa mauzo ya jezi yake.

Jezi ya mchezaji huyu huuzwa kwa 9.59%  akifuatiwa na Alexis Sanchez wa Arsenal mwenye 3.8%.

Top 10 Player Shirts Sales 2014/2015

Angel di Maria (Man Utd) – 9.59%

Alexis Sanchez (Arsenal) – 3.80%

Diego Costa (Chelsea) – 2.27%

David de Gea (Man Utd) – 2.16%

Eden Hazard (Chelsea) – 2.10%

Wayne Rooney (Man Utd) – 2.09%

Radamel Falcao (Man Utd) – 1.99%

Steven Gerrard (Liverpool) – 1.76%

Sergio Aguero (Man City) – 1.46%

Robin van Persie (Man Utd) – 1.20%

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments