Video ya Utanipenda mpaka sasa ina siku 19 toka iwekwe kwenye mtandao wa Youtube na imetazamwa zaidi ya mara 1,031,735,Diamond kwa sasa amekua tayari kutuonyesha vile vilivyokua vinatokea nyuma ya pazia (Behind the Scene).
Unaweza kuvitazama hapa pia mtu wangu.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE