Naibu Waziri wa Afya Dr Hamisi Kigwangalla leo September 12, 2017 wakati wa Kikao cha Bunge ametolea ufafanuzi suala la madhara yanayoweza kutokea kwa wanaume wasiofanyiwa tohara kufuatia maswali yaliyoulizwa na wabunge kuhusu jambo hilo.
Pia ameeleza kuwa Wizara ya Afya iliweka mkakati wa kubaini mikoa ya kipaumbele ambayo haina utamaduni wa kutahiri na ikiwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya virusi vya ukimwi na kutoa afua rasmi ili kupunguza maambukizi hayo.
Ulipitwa na hii?China kuongeza nguvu zoezi la Upimaji Afya bure DSM
Hii je? Mpango wa huduma ya afya bure kwa Wazee uliozinduliwa na Waziri wa Afya