AyoTV

VIDEO: Show ya Diamond New York July 23 kwenye One Africa Music Festival

on

Diamond Platnumz alikua msanii pekee kutoka Afrika Mashariki aliyealikwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la muziki wa Afrika lililofanyika kwa mara ya kwanza New York Marekani kwenye uwanja unaochukua watu elfu 18.

Kulikua na Wasanii mbalimbali waliotumbuiza wakiwemo kutoka Ghana na Nigeria kama Wizkid, Davido, Tiwa Savage, Flavour wa Nigeria, sehemu tu ya show ya Diamond Platnumz unaweza kuitazama kwenye hii video hapa chini

ULIKOSA KUTAZAMA SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI YA MAHUDHURIO MAREKANI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments