Baada ya Dr. Luis Shika kuibuka na kudhihirisha kwamba kweli aliwahi kuishi Russia zimeibuka taarifa mitandaoni kwamba sababu za yeye kutekwa na kupigwa na baadae kulazimika kuikimbia nchi hiyo ni sababu alishtukiwa kwamba alitumwa na Marekani kuichunguza Russia…
Kwenye hii video hapa chini Dr. Luis amejibu kuhusu hiyo na kuhusu kuzipata pesa zake ambazo ziko Urusi, bonyeza play hapa chini kumtazama
VIDEO: DR. SHIKA ASEMA MIMI SIO MBAMBAISHAJI, AONYESHA KAMPUNI YAKE… BONYEZA PLAY HAPA CHINI
MWANZO MWISHO: DR. LUIS SHIKA ALIVYOJITAMBA KUNUNUA NYUMBA ZA BILIONI 2 MNADANI, TAZAMA HAPA CHINI KILA KITU ILIVYOKUA
https://www.youtube.com/watch?v=kTl6ZAZqCH0