Mwigizaji Mkongwe wa Tanzania maarufu kwa jina la Dr. Cheni ambae ni mtu wa karibu na familia ya Mwigizaji Lulu aliehukumiwa miaka miwili jela, amefunguka kuhusu hukumu ya Lulu pamoja na mengine, mtazame kwenye hii video hapa chini alipofunguka mwanzo mwisho
VIDEO YA LULU AKIPELEKWA GEREZANI… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
EXCLUSIVE VIDEO: BABA KANUMBA AONGEA, HAJAFURAHISHWA NA HUKUMU ALIYOPEWA LULU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA