Jina la Zumaridi limekuwa kubwa kwa hivi karibuni kutokana na Sakata lake linaloendelea Mahakamani kwenye hii video tumekuwekea mambo machache yanayomuhusu Zumaridi, ukifika kwenye Ibada zake si ajabu kuona akitembea kwenye migongo ya waumini wake, Kingine unatakiwa kulia pale tu anapolia na ucheke pale anapocheka.
Jina lake halisi ni Diana Bundala amezaliwa Oktoba 9, 1983 kijiji cha Maganzo wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga na inasemekana ni Mama wa watoto wawili.
Hapa nimekusogezea makala fupi pamoja na ushuhudie muonekano wa nyumba yake iliyopo Mwanza.
RAIS WA UKRAINE AFUNGUKA “UWEPO WA VITA YA TATU YA DUNIA, TUPENI ULINZI WA MAKOMBORA”