Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, Halima Mdee leo July 10, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya kutoa lugha za kuudhi dhidi ya Rais Magufuli. Halima alikamatwa na polisi wiki iliyopita kwa agizo la Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi ambaye aliagiza awekwe rumande kwa sasa 48.
Kaa karibu na AyoTV, millardayo kwenye YouTube, Instagram na Twitter kufahamu kula kitu kitakachoendelea Mahakamani hapo.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee CHADEMA leo amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/IRm7wYjnz0
— millardayo (@millardayo) July 10, 2017
VIDEO: Ulipitwa na uchambuzi wa Magazeti ya leo July 10, 2017? Tayari yapo hapa chini bonyeza play kutazama.