Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Pep Guardiola msitarajie makubwa kutoka kwake katika usajili

on

Kocha wa Man City Pep Guardiola ameeleza msimamo wake kuhusiana na watu wanaosubiri kuona akifanya usajili wa jina jipya kubwa katika kikosi chake kwa ajili ya msimu wa 2019/2020.

“Hapana, sio wengi napenda kuona sura tulizonazo labda lakini soko la usajili ni gumu sana na timu (Man City) ipo vizuri kiasi cha kutosha labda hatutamsajili mtu au labda mmoja”>>>Pep Guardiola

Kauli ya Pep Guardiola inaashiria kuwa kuna uwezekano mdogo kwa siku 13 zilizosalia kufanya usajili wa mchezaji mpya wa kuongeza nguvu katika kikosi chao kwa ajili ya kuboresha zaidi na kutetea taji lao la EPL.

Soma na hizi

Tupia Comments