Msanii Stara Thomas ambaye pia ni Mratibu wa kamati ya maadili wa chama cha muziki wa kizazi kipya (TUMA) amezungumza haya baada ya kufika BASATA kwenye ishu ya Nay wa Mitego. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichokiongea Stara Thomas.
“Kama BASATA wangefata sheria Nay wa Mitego angechukuliwa na gari lingine”