Ripoti ya World Economic Outlook ‘WEO’ ambayo inatoa makadirio ya maendeleo ya kiuchumi katika ngazi ya kimataifa, ripoti hiyo hutolewa April na September/October kila mwaka ambapo hutumia database kupata taarifa za akaunti za taifa, mfumuko wa bei, viwango vya ukosefu wa ajira, bei za bidhaa n.k.
Katika ripoti yake ya April 2016 imeitaja nchi ya Myanmar kuwa ndio nchi inayotajwa kuongoza nchi zinazotarajiwa kurejea katika ukuaji mkubwa wa uchumi kwa pato linalokadiriwa kukua kwa 8.6% kwa mwaka.
Ivory Coast imekuwa nchi ya pili na makadirio ya ukuaji wa pato la Taifa la 8.5% mwaka huu. Nchi zingine zilizotabiriwa kurudi takwimu ya juu ya ukuaji ni pamoja na India, Laos na Tanzania.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA YA ZITTO KABWE KUHUSU UTUMBUAJI MAJIPU NA BUNGE KUSRUSHWA LIVE? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI