Leo February 28, 2018 aliyekuwa Msimamizi wa mashindano ya Miss Tanzania Hashimu Lendenga ametangaza kuacha kusimamia mashindano ya Miss Tanzania baada ya kuifanya kazi hiyo kwa muda wa miaka 23, ameeleza kwamba baada ya kufungiwa mwaka 2014 mashinano hayo yalianza kusuasua.
Amesema baada ya hapo mashindano hayakuwa mazuri na akagundua kuwa suala la umri wake kuwa mkubwa kwa kufikisha miaka 61 akaona aachie ngazi labda huwenda wengine wakaendesha mashindano hayo vizuri.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Lundenga akielezea..
‘Quick Rocka hanipangii cha kufanya, ananisikiliza ninachomwambia’