Video Mpya

AudioMPYA: Hamisa Mobetto ameendelea kuoneshe uwezo wake kwenye uimbaji

on

Karibu kuisikiliza Audio mpya kutoka kwa mrembo Hamisa Mobetto wimbo unaitwa ‘Sawa’ mdundo umetayarishwa AM records na Producer Bob Manecky ndiye aliyehusika kwenye utayarishaji wamdundo huo.

Bonyeza PLAY hapa chini kuisikiliza.

EXCLUSIVE: RUCK BABY MWENYE MAVAZI YA UTATA KAZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments