Michezo

Matokeo ya Arsenal VS Everton Ligi kuu EPL jana, Chelsea pia yako hapa…

on

juuKikosi cha Arsenal kimezinduka kutoka kwenye kipigo dhidi ya Monaco kwenye ligi ya Mabingwa, baada ya jana kuifunga Everton mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya England.

arsenBao la kwanza kwa timu hiyo lilifungwa dakika ya 39 na Oliver Giroud akimalizia pasi ya Mesut Ozil kabla ya Tomas Rosicky kufunga la pili dakika ya 89.

asenaMatokeo hayo yanaifanya Arsenal itimize pointi 51 baada ya kucheza michezo 27 nyuma ya Manchester City yenye pointi 55 iliyocheza mechi 27 huku Chelsea ikiwa na pointi 60 na imeshacheza mechi 26.

Kwa upande mwingine Chelsea imetwaa taji la kombe la Capital one katika uwanja wa Wimbley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya TottenHam mabao.

mor

John Terry alifunga goli la kwanza dakika ya 45 baada ya Kyle Walker baada ya kubabatizwa na shuti la Diego Costa dakika ya 56.

cry

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments