Siku ya March 15,2018 kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii basi uliona picha zilizokuwa zikisambaa kutoka kwa mwanamitindo maarufu nchini Millen Magese ambaye alipost picha ya mtoto wake kwa mara ya kwanza katika mtandao wake wa Instagram.
Maswali yamekuwa mengi kutoka kwa mashabiki kwanini ametumia muda mrefu kumuonyesha mtoto wake?? Furaha aliyoipata baada ya kumpata huyo mtoto wake wa kwanza?
Bonyeza PLAY kumsikiliza Millen Magese akiyajibu maswali yote.
Wema Sepetu alia na mashabiki “Mimi ninamoyo, siyo chuma”