Ni mwanzo mpaka mwisho show ya Miaka 15 ya Dully Sykes kwenye Bongo Fleva, Escape 1 (Pichaz)
Share
3 Min Read
SHARE
Siku ya jana December, Legendary wa Bongo Fleva Dully Sykesambaye ni mmoja ya wachache waliokuwepo kwenye muziki tangu siku za mwanzoni na akaweza kudumu mpaka leo, aliandaa sherehe ya aina yake ambayo ilifanyika Escape 1, Mikocheni Dar.
Kama hukupata nafasi kuhudhuria hii unaambiwa hii ni moja ya sherehe ambazo zilikusanya mastaa wengi zaidi kuliko tulivyozoea kuwaona kwenye show nyingine, kulikuwa na surprise za nguvu ikiwepo wasanii ambao hatujawasikia wala kuwaona kwa kipindi kirefu, Bushoke na Man X ambao walishiriki kwenye hii.
Hapa unaweza kuenjoy kilichotokea kwa kucheki picha hizi.
Msanii Bushoke, alitokea kama surprise kwenye stage na akapokewa kwa shangwe kubwa na mashabiki waliotokea jana Escape 1.Linahkwenye stage ya kuadhimisha miaka 15 ya Dully Sykes, Escape 1.Queen Dareen, Baba Levo & Christian Bella.Mkali wa Bongo Movie, Steve Nyerere.Msanii Msami kutoka THT akiwa kwenye stage na dancers wake.Banana Zahir Ally Zorro, huyu ni mmoja wa mastaa walioanza safari ya muziki muda mrefu na Dully Syskes.King of the Best Melodies, Christian Bella.Makomandoo, hawa pia ni moja ya vijana ambao Dully Sykes ana mchango mkubwa kwenye muziki wanaoufanya. Walipiga bonge la show kwenye sherehe hiyo ya Dully.Hii ilikuwa Cake iliyoandaliwa kumpongeza Dully Syskes kutimiza miaka 15 kwenye Bongo Fleva.Queen Dareen, Dully Sykes na Mwana FA.Queen Dareen akikata Cake.Time ya kula Cake sasa, Dully Sykes, DJ Venture na Baby Madaha.Msanii Man X.
Antonio NugazQ Chillah, mmoja ya wasanii waliosafiri safari ndefu pia kwenye muziki na Dully Sykes.Dully na Baby Madaha.Mwana FAna Dully Sykes.Ali Kiba, Dullyna Timbulo.Dully akipiga show.Chege kutoka TMK Wanaume.Petitman.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitterInstaFacebook