AyoTV

Diamond kuhusu ushindi wa Rayvanny BET 2017

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi wake pamoja na ukali wake wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye usiku wa June 24, 2017 alitangazwa mshindi wa tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.

Leo June 25, 2017 Ayo TV na millardayo.com zimempata Diamond Platnumz ambaye anauzungumzia ushindi huo wa Rayvanny.

Video hii ina kila kitu!!!

ULIIKOSA HII YA MSANII MPYA WA WCB BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

ULIIKOSA HII YA RAYVANNY ALICHOKIZUNGUMZA BAADA YA KUTAJWA KUWANIA BET AWARD 2017 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments